Nenda kwa yaliyomo

Uislamu kwa nchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Idadi ya Waislamu Dunia kwa asilimia (Pew Research Center, 2014).
Uislamu kwa nchi

Uislamu ni dini ya pili duniani kwa wingi wa wafuasi. Kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 2010 na kutolewa Januari 2011,[1][2] Waislamu ni bilioni 1.57, unachukua zaidi ya asilimia 23 ya idadi ya watu wote.[3][4][5]

Waislamu walio wengi ni wa madhehebu ya: Sunni (75–90%)[6] au Shia (10–20%).[7] Ahmadiyya wanawakilisha karibia 1% ya Waislamu wa dunia nzima.[8]

Uislamu ni dini yenye nguvu huko Mashariki ya Kati, Afrika Magharibi, Pembe la Afrika, Sahel,[1][9][10][11] na baadhi ya sehemu za Asia.[12] Baadhi ya jumuia za Kiislamu pia zinapatikana huko Uchina, Balkans, Uhindi na Urusi.[1][13]

Sehemu nyingine za dunia ambazo zina jumuia nyingi za wahamiaji wa Kiislamu ni pamoja na Ulaya ya Magharibi, kwa mfano, ambapo Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo, ambapo inawakilisha asilimia 6 ya jumla ya wakazi wote.[14]

Kulingana na ripoti ya Pew Research Center mnamo 2010 kulikuwa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi zipatazo 49.[15] Karibu asilimia 62 ya Waislamu wa duniani kote wanaishi Kusini na Kusini mashariki mwa bara la Asia, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni 1.[16] Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu duniani ni Indonesia, hii peke yake inachukua asilimia 12.7 ya idadi ya Waislamu wote wa dunia, ikifuatiwa na Pakistan (11.0%), India (10.9%), na Bangladesh (9.2%).[1][17] Karibia asilimia 20 ya Waislamu wanaishi katika nchi za Kiarabu.[18] Huko Mashariki ya Kati, nchi ambazo si za Kiarabu - Uturuki na Iran - ni nchi zenye Waislamu wengi sana; huko Afrika, Misri na Nigeria zina jumuia nyingi za Kiislamu.[1][17] Utafiti huo umekuta Waislamu wengi zaidi huko Uingereza kuliko hata Lebanon na wengi zaidi huko China kuliko hata nchini Syria.[1]

Idadi zinazoonekana katika safu nne za kwanza hapo chini zinatokana na ripoti ya utafiti wa kidemografia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew maarufu kama The Future of the Global Muslim Population, tangu 27 Januari 2011.[1][2]

Nchi/Kanda[1] Idadi ya Waislamu
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu (%) nchini
Ripoti ya Pew 2010[1]
Asilimia za Waislamu nchini (%) kwa Dunia Nzima
Ripoti ya Pew 2010[1]
Idadi ya Waislamu
Vyanzo vingine
Asilimia za Waislamu (%)
Vyanzo vingine
Afghanistan Afghanistan 29,047,000 99.8 1.8
Albania Albania 1,500,000 38.8 0.2 1,587,608 (official census)[19] 38.8%[20][21] 56.7%[19]
Algeria Algeria 34,780,000 98.2 2.1
American Samoa American Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
Andorra Andorra < 1,000 < 0.1 < 0.1
Angola Angola 90,000 1.0 < 0.1
Anguilla Anguilla < 1,000 0.3 < 0.1
Antigua and Barbuda Antigua na Barbuda < 1,000 0.6 < 0.1
Argentina Argentina 400,000 2.5 0.1
Armenia Armenia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Aruba Aruba < 1,000 0.4 < 0.1
Australia Australia 399,000 1.9 < 0.1 476,291 (official census)[22] 2.2%[22]
Austria Austria 475,000 5.7 < 0.1 400-500,000[23] ~6.0%[24]
Azerbaijan Azerbaijan 8,795,000 98.4 0.5
The Bahamas Bahamas < 1,000 0.1 < 0.1
Bahrain Bahrain 655,000 81.2 < 0.1 866,888 (official census)[25] 70.2%[25]
Bangladesh Bangladesh 148,607,000 90.4 9.2
Barbados Barbados 2,000 0.9 < 0.1
Belarus Belarus 19,000 0.2 < 0.1
Ubelgiji Ubelgiji 638,000 6.0 < 0.1 628,751[26] 6.0%[26]
Belize Belize < 1,000 0.1 < 0.1
Benin Benin 2,259,000 24.5 0.1
Bermuda Bermuda < 1,000 0.8 < 0.1
Bhutan Bhutan 7,000 1.0 < 0.1
Bolivia Bolivia 2,000 < 0.1 < 0.1
Bosnia and Herzegovina Bosnia-Herzegovina 1,564,000 41.6 0.1 45%[27]
Botswana Botswana 8,000 0.4 < 0.1
Brazil Brazil 35,000 0.1 < 0.1 35,167 (official census)[28]
British Virgin Islands British Virgin Islands < 1,000 1.2 < 0.1
Brunei Brunei 211,000 51.9 < 0.1 67%[29]
Bulgaria Bulgaria 1,002,000 13.4 0.1 577,139 (official census)[30] 10%[30]
Burkina Faso Burkina Faso 9,600,000 58.9 0.6 60.5%[31]
Burma Burma (Myanmar) 1,900,000 3.8 0.1
Burundi Burundi 184,000 2.2 < 0.1
Kamboja Cambodia 240,000 1.6 < 0.1
Kamerun Cameroon 3,598,000 18.0 0.2 20.9%[32]
Kanada Canada 940,000 2.8 0.1 1,053,945 (official census)[33] 1.9%,[34] 3.2%[33]
Cabo Verde Cape Verde < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Cayman Islands Cayman Islands < 1,000 0.2 < 0.1
Jamhuri ya Afrika ya Kati Central African Republic 403,000 8.9 < 0.1 15%[35][36]
Chad Chad 6,404,000 55.7 0.4
Chile Chile 4,000 < 0.1 < 0.1 2,894 (official census)[37] 0.03% (over 15+ pop.)[37]
Jamhuri ya Watu wa China China 23,308,000 1.8 1.4 50,000,000[38]
Kolombia Colombia 14,000 < 0.1 < 0.1 40,000 to 80,000[39]
Komori Comoros 679,000 98.3 < 0.1
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Congo 969,000 1.4 0.1
Cook Islands Cook Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Costa Rica Costa Rica < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kroatia Croatia 56,000 1.3 < 0.1
Kuba Cuba 10,000 0.1 < 0.1
Kupro Cyprus 200,000 22.7 < 0.1
Ucheki Czech Republic 4,000 < 0.1 < 0.1
Denmark Denmark 226,000 4.1 < 0.1 210,000[40] 3.7%[40]
Jibuti Djibouti 853,000 97.0 0.1
Dominica Dominica < 1,000 0.2 < 0.1
Jamhuri ya Dominika Dominican Republic 2,000 < 0.1 < 0.1
Ekuador Ecuador 2,000 < 0.1 < 0.1
Misri Egypt 80,024,000 94.7 4.9 91%[41]
El Salvador El Salvador 2,000 < 0.1 < 0.1
Guinea ya Ikweta Equatorial Guinea 28,000 4.1 < 0.1
Eritrea Eritrea 1,909,000 36.5 0.1 50%[42]
Estonia Estonia 2,000 0.1 < 0.1 1,400[43]
Ethiopia Ethiopia 25,000,000 33.8 1.8 25,037,646[44] 34%
Faroe Islands Faeroe Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Visiwa vya Falkland Falkland Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Federated States of Micronesia Federated States of Micronesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Fiji Fiji 54,000 6.3 < 0.1
Ufini Finland 42,000 0.8 < 0.1
Ufaransa France 4,704,000 7.5 0.3 8%-10%[45]
Guyana ya Kifaransa French Guiana 2,000 0.9 < 0.1
Kigezo:Country data French Polynesia French Polynesia < 1,000 < 0.1 < 0.1
Gabon Gabon 145,000 9.7 < 0.1
Gambia Gambia 1,669,000 95.3 0.1
Georgia (nchi) Georgia 442,000 10.5 < 0.1
Ujerumani Germany 4,119,000 5.0 0.3 4,300,000[46] 5,4%[46]
Ghana Ghana 3,906,000 16.1 0.2
Gibraltar Gibraltar 1,000 4.0 < 0.1
Ugiriki Greece 527,000 4.7 < 0.1
Kigezo:Country data Greenland Greenland < 1,000 < 0.1 < 0.1
Grenada Grenada < 1,000 0.3 < 0.1
Kigezo:Country data Guadeloupe Guadeloupe 2,000 0.4 < 0.1
Kigezo:Country data Guam Guam < 1,000 < 0.1 < 0.1
Guatemala Guatemala 1,000 < 0.1 < 0.1
Guinea Guinea 8,693,000 84.2 0.5
Guinea-Bisau Guinea Bissau 705,000 42.8 < 0.1 50%[47]
Guyana Guyana 55,000 7.2 < 0.1
Haiti Haiti 2,000 < 0.1 < 0.1
[[File:|22x20px|border |alt=Honduras|link=Honduras]] Honduras 11,000 0.1 < 0.1
Hong Kong Hong Kong 91,000 1.3 < 0.1
Hungaria Hungary 25,000 0.3 < 0.1 5,579 (official census)[48]
Iceland Iceland < 1,000 0.1 < 0.1 770[49] 0.24%[49]
Uhindi India 177,286,000 14.6 10.9
Indonesia Indonesia 204,847,000 88.1 12.7
Uajemi Iran 74,819,000 99.7 4.6
Iraq Iraq 31,108,000 98.9 1.9
Eire Ireland 43,000 0.9 < 0.1
Isle of Man Isle of Man < 1,000 0.2 < 0.1
Israel Israel 1,287,000 17.7 0.1
Italia Italia 1,583,000 2.6 0.1 825,000[24] 1.4%[24]
Côte d'Ivoire Ivory Coast 7,960,000 36.9 0.5 40%[50][51][52]
Jamaika Jamaica 1,000 < 0.1 < 0.1
Japani Japan 185,000 0.1 < 0.1
Jordan Jordan 6,397,000 98.8 0.4
Kazakhstan Kazakhstan 8,887,000 56.4 0.5 70.2% (official census)[53]
Kenya Kenya 2,868,000 7.0 0.2 10%[54]
Kiribati Kiribati < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kosovo Kosovo 2,104,000 91.7 0.1 1,584,000[55]
Kuwait Kuwait 2,636,000 86.4 0.2
Kyrgyzstan Kyrgyzstan 4,927,000 88.8 0.3
Laos Laos 1,000 < 0.1 < 0.1
Latvia Latvia 2,000 0.1 < 0.1
Lebanon Lebanon 2,542,000 59.7 0.2
Lesotho Lesotho 1,000 < 0.1 < 0.1
Liberia Liberia 523,000 12.8 < 0.1
Libya Libya 6,325,000 96.6 0.4
Liechtenstein Liechtenstein 2,000 4.8 < 0.1
Lituanya Lithuania 3,000 0.1 < 0.1
Luxemburg Luxembourg 11,000 2.3 < 0.1
Kigezo:Country data Macau Macau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Jamhuri ya Masedonia Masedonia Kaskazini 713,000 34.9 < 0.1
Madagaska Madagascar 220,000 1.1 < 0.1 7%[56]
Malawi Malawi 2,011,000 12.8 0.1
Malaysia Malaysia 17,139,000 61.4 1.1
Maldives Maldives 309,000 98.4 < 0.1
Mali Mali 12,316,000 92.4 0.8
Malta Malta 1,000 0.3 < 0.1
Marshall Islands Marshall Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Martinique Martinique < 1,000 0.2 < 0.1
Mauritania Mauritania 3,338,000 99.2 0.2
Morisi Mauritius 216,000 16.6 < 0.1
Mayotte Mayotte 197,000 98.8 < 0.1
Mexiko Mexico 111,000 0.1 < 0.1 3,700 (official census)[57]
Moldova Moldova 15,000 0.4 < 0.1
Monako Monaco < 1,000 0.5 < 0.1
Mongolia Mongolia 120,000 4.4 < 0.1
Montenegro Montenegro 116,000 18.5 < 0.1 118,477 [58] 19.11% [58]
Kigezo:Country data Montserrat Montserrat < 1,000 0.1 < 0.1
Moroko Moroko 32,381,000 99.9 2.0 99%[59]
Msumbiji Mozambique 5,340,000 22.8 0.3
Namibia Namibia 9,000 0.4 < 0.1
Nauru Nauru < 1,000 < 0.1 < 0.1
Nepal Nepal 1,253,000 4.2 0.1
Uholanzi Netherlands 914,000 5.5 0.1 5.8%[60]
Kigezo:Country data Netherlands Antilles Netherlands Antilles < 1,000 0.2 < 0.1
Kigezo:Country data New Caledonia New Caledonia 7,000 2.8 < 0.1
New Zealand New Zealand 41,000 0.9 < 0.1
Nikaragua Nicaragua 1,000 < 0.1 < 0.1
Niger
Niger
15,627,000 98.3 1.0
Nigeria Nigeria 75,728,000 47.9 4.7 85,000,000 50%
Kigezo:Country data Niue Niue < 1,000 < 0.1 < 0.1
North Korea North Korea 3,000 < 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Northern Mariana Islands Northern Mariana Islands < 1,000 0.7 < 0.1
Norwei Norway 144,000 3.0 < 0.1 163,180 in 2008[61]
Omani Oman 2,547,000 87.7 0.2
Pakistan Pakistan 178,097,000 96.4 11.0
Palau Palau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Palestinian territories Palestine 4,298,000 97.5 0.3 3,500,000 99.3% (Gaza Strip),[62] 75% (West Bank)[63]
Panama Panama 25,000 0.7 < 0.1
Papua Guinea Mpya Papua New Guinea 2,000 < 0.1 < 0.1
Paraguay Paraguay 1,000 < 0.1 < 0.1
Peru Peru < 1,000 < 0.1 < 0.1
Philippines Philippines 4,737,000 5.1 0.3 10,300,000 (2012)[64] 5% (2000) to 11% (2012)[64]
Kigezo:Country data Pitcairn Islands Pitcairn Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Poland Poland 20,000 0.1 < 0.1
Ureno Portugal 65,000 0.6 < 0.1
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico Puerto Rico 1,000 < 0.1 < 0.1
Qatar Qatar 1,168,000 77.5 0.1
Kigezo:Country data Republic of Congo Republic of Congo 60,000 1.6 < 0.1
Kigezo:Country data Reunion Reunion 35,000 4.2 < 0.1
Romania Romania 73,000 0.3 < 0.1
Urusi Russia 16,379,000 11.7 1.0 11.7%[65]
Rwanda Rwanda 188,000 1.8 < 0.1
Saint Helena St. Helena < 1,000 < 0.1 < 0.1
Saint Kitts and Nevis St. Kitts na Nevis < 1,000 0.3 < 0.1
Saint Lucia St. Lucia < 1,000 0.1 < 0.1
Kigezo:Country data Saint Pierre and Miquelon St. Pierre and Miquelon < 1,000 0.2 < 0.1
Saint Vincent and the Grenadines St. Vincent na Grenadines 2,000 1.7 < 0.1
Samoa Samoa < 1,000 < 0.1 < 0.1
San Marino San Marino < 1,000 < 0.1 < 0.1
São Tomé na Príncipe São Tomé na Príncipe < 1,000 < 0.1 < 0.1
Saudi Arabia Saudi Arabia 25,493,000 97.1 1.6
Senegal Senegal 12,333,000 95.9 0.8
Serbia Serbia 280,000 3.7 < 0.1
Shelisheli Shelisheli < 1,000 1.1 < 0.1
Sierra Leone Sierra Leone 4,171,000 71.5 0.3
Singapuri Singapore 721,000 14.9 < 0.1
Slovakia Slovakia 4,000 0.1 < 0.1
Slovenia Slovenia 49,000 2.4 < 0.1
Solomon Islands Solomon Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Somalia Somalia 9,231,000 98.6 0.6 99.9%[66][67][68][69][70]
Afrika Kusini South Africa 110,000 1.5 < 0.1
South Korea South Korea 35,000 0.2 < 0.1
South Sudan South Sudan
Hispania Spain 1,021,000 2.3 0.1 1,000,000[24] 2.3%[24]
Sri Lanka Sri Lanka 1,725,000 8.5 0.1 1,967,227 (official census)[71] 9.71[71]
Sudan Sudan 30,855,000 71.4[72] 1.9 97.0% (only the Republic of Sudan)[73]
Surinam Suriname 84,000 15.9 < 0.1 19.6%[74]
Eswatini Swaziland 2,000 0.2 < 0.1
Uswidi Sweden 451,000 4.9 < 0.1 450-500,000[75] ~5%[75]
Uswisi Switzerland 433,000 5.7 < 0.1 400,000[76] 5%[76]
Syria Syria 20,895,000 92.8 1.3
Republic of China Taiwan 23,000 0.1 < 0.1 60,000[77] 0.3%[78]
Tajikistan Tajikistan 7,006,000 99.0 0.4
Tanzania Tanzania 13,450,000 29.9 0.8 35%[79]
Uthai Thailand 3,952,000 5.8 0.2
East Timor Timor-Leste 1,000 0.1 < 0.1
Togo Togo 827,000 12.2 0.1 20%[80]
Kigezo:Country data Tokelau Tokelau < 1,000 < 0.1 < 0.1
Tonga Tonga < 1,000 < 0.1 < 0.1
Trinidad and Tobago Trinidad na Tobago 78,000 5.8 < 0.1
Tunisia Tunisia 10,349,000 99.8 0.6
Uturuki Turkey 74,660,000 98.6 4.6 96.4[81] - 76%[82]
Turkmenistan Turkmenistan 4,830,000 93.3 0.3
Kigezo:Country data Turks and Caicos Islands Turks and Caicos Islands < 1,000 < 0.1 < 0.1
Tuvalu Tuvalu < 1,000 0.1 < 0.1
Uganda Uganda 3,700,000 12.0 0.3
Ukraine Ukraine 393,000 0.9 < 0.1 2,000,000[83]
Falme za Kiarabu United Arab Emirates 3,577,000 76.0 0.2
Ufalme wa Muungano United Kingdom 2,869,000 4.6 0.2 2,422,000[84] 2.4%[24]
Marekani United States 2,595,000 0.8 0.2 6,000,000-7,000,000[85]
Kigezo:Country data United States Virgin Islands U.S. Virgin Islands < 1,000 0.1 < 0.1
Uruguay Uruguay < 1,000 < 0.1 < 0.1
Uzbekistan Uzbekistan 26,833,000 96.5 1.7
Vanuatu Vanuatu < 1,000 < 0.1 < 0.1
Vatikani Vatikani 0 0 0
Venezuela Venezuela 95,000 0.3 < 0.1
Vietnam Vietnam 63,146 0.2 < 0.1 71,200[86]
Kigezo:Country data Wallis and Futuna Wallis na Futuna < 1,000 < 0.1 < 0.1
Sahara ya Magharibi Western Sahara 528,000 99.6 < 0.1
Yemen Yemen 24,023,000 99.0 1.5
Zambia Zambia 15,000 0.4 < 0.1
Zimbabwe Zimbabwe 50,000 0.9 < 0.1
Kusini na Kusinimashariki mwa Asia 1,005,507,000 24.8 62.1
Mashariki ya Kati-Afrika Magharibi 321,869,000 91.2 19.9
Afrika Kusini kwa Sahara 242,544,000 29.6 15.0
Ulaya 44,138,000 6.0 2.7
Amerika 5,256,000 0.6 0.3
Idadi ya Dunia Nzima 1,619,314,000 23.4 100.0
  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 "Muslim Population by Country". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 "Preface", The Future of the Global Muslim Population, Pew Research Center, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-25, iliwekwa mnamo 2015-04-14 {{citation}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. "Executive Summary". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Christian Population as Percentages of Total Population by Country". Global Christianity. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Turmoil in the world of Islam". Deccan Chronicle. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Tazama:
  7. See
    • Breach of Faith. Human Rights Watch. Juni 2005. uk. 8. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. Estimates of around 20 million would be appropriate{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
    • Larry DeVries, Don Baker, and Dan Overmyer. Asian Religions in British Columbia. University of Columbia Press. ISBN 978-0-7748-1662-5. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. The community currently numbers around 15 million spread around the world{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link)
    • Juan Eduardo Campo. Encyclopedia of Islam. uk. 24. ISBN 0-8160-5454-1. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2014. The total size of the Ahmadiyya community in 2001 was estimated to be more than 10 million{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
    • "Ahmadiyya Muslims". pbs.org. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
    • A figure of 10-20 million represents approximately 1% of the Muslim population.
  8. "Region: Middle East-North Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Region: Sub-Saharan Africa". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Encyclopædia Britannica. Britannica Book of the Year 2003. Encyclopædia Britannica, (2003) ISBN 978-0-85229-956-2 p.306
    According to the Encyclopædia Britannica, as of mid-2002, there were 376,453,000 Christians, 329,869,000 Muslims and 98,734,000 people who practiced traditional religions in Africa. Ian S. Markham, (A World Religions Reader. Cambridge, MA: Blackwell Publishers, 1996.) is cited by Morehouse University as giving the mid-1990s figure of 278,250,800 Muslims in Africa, but still as 40.8% of the total population. These numbers are estimates, and remain a matter of conjecture. See Amadu Jacky Kaba. The spread of Christianity and Islam in Africa: a survey and analysis of the numbers and percentages of Christians, Muslims and those who practice indigenous religions. The Western Journal of Black Studies, Vol 29, Number 2, June 2005. Discusses the estimations of various almanacs and encyclopedium, placing Britannica's estimate as the most agreed figure. Notes the figure presented at the World Christian Encyclopedia, summarized here Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine., as being an outlier. On rates of growth, Islam and Pentecostal Christianity are highest, see: The List: The World’s Fastest-Growing Religions Archived 21 Mei 2007 at the Wayback Machine., Foreign Policy, May 2007.
  11. Britannica Archived 19 Agosti 2008 at the Wayback Machine., Think Quest Archived 17 Februari 2010 at the Wayback Machine., Wadsworth.com Archived 14 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
  12. Secrets of Islam, U.S. News & World Report. Information provided by the International Population Center, Department of Geography, San Diego State University (2005).
  13. See:
  14. "Muslim-Majority Countries". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Region: Asia-Pacific". The Future of the Global Muslim Population. Pew Research Center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2011. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. 17.0 17.1 "Number of Muslim by country". nationmaster.com. Iliwekwa mnamo 2007-05-30.
  17. See:
    • Esposito (2002b), p.21
    • Esposito (2004), pp.2,43
  18. 19.0 19.1 "Albanian census 2011" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-06-30. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  19. "Albania". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 2010-06-05. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  20. "Religious Freedom-Albania". The Religious Freedom Page. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-05-30. Iliwekwa mnamo 27 Januari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  21. 22.0 22.1 "Reflecting a Nation: Stories from the 2011 Census, 2012–2013". Australian Bureau of Statistics.
  22. "How many Muslims live in Austria?". Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  23. 24.0 24.1 24.2 24.3 24.4 24.5 "Muslims in Europe: Country guide", BBC News, 2005-12-23. 
  24. 25.0 25.1 "General Tables Census of Bahrain" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-09-08. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  25. 26.0 26.1 "In België wonen 628.751 moslims". Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  26. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Bosnia and Herzegovina". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  27. [1] Census 2010
  28. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-12. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  29. 30.0 30.1 "Census 2011" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-07-27. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  30. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-06. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  31. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Cameroon". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  32. 33.0 33.1 National Household Survey (NHS) Profile, 2011 - Option 2: Select from a list. Statistics Canada.
  33. "Canada". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-30. Iliwekwa mnamo 2010-06-22.
  34. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Central African Republic". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  35. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  36. 37.0 37.1 "Chile 2002 census database". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-29. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  37. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - China (includes Tibet, Hong Kong, Macau)". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  38. "Colombia's religious minorities: the growing Muslim community". Colombia News - Colombia Reports. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  39. 40.0 40.1 "Denmark". U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  40. Religion Statistics > Islam > Percentage Muslim (most recent) by country
  41. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2009 Report on International Religious Freedom - Eritrea". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-17. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  42. "ISLAM.EE". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-11. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  43. Population and Housing Census Report-Country - 2007, Central Statistical Agency, 2010-07 Archived 10 Februari 2016 at the Wayback Machine., Table 3.3. (Last accessed 30 October 2014)
  44. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - France". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  45. 46.0 46.1 "Studie: Deutlich mehr Muslime in Deutschland". DW.DE. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  46. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Guinea-Bissau". Refworld. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  47. Hungarian census 2011
  48. 49.0 49.1 "Populations by religious organizations 1998-2013". Reykjavík, Iceland: Statistics Iceland.
  49. "Fun facts and information on Cote d'Ivoire". Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  50. "The religious and ethnic faultlines in Ivory Coast". ReliefWeb. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  51. "RELIGION-COTE D'IVOIRE: Women Seek More Leadership Roles". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-11-09. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  52. "The results of the national population census in 2009". Agency of Statistics of the Republic of Kazakhstan. 12 Novemba 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2010. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  53. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2008 Report on International Religious Freedom - Kenya". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  54. "Kosovo". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 2009-07-24.
  55. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-25. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  56. Instituto Nacional de Estadística y Geografía (2010). "Censo de Población y Vivienda 2010 — Cuestionario básico". INEGI. Iliwekwa mnamo 4 Machi 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  57. 58.0 58.1 http://www.monstat.org/userfiles/file/popis2011/saopstenje/saopstenje(1).pdf
  58. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-26. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  59. "Netherlands". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-05-21. Iliwekwa mnamo 2010-06-22.
  60. "Tabell 2 Innvandrere og norskfødte med innvandrerforeldre fra land der islam er hovedreligion, etter landbakgrunn. 1980, 1990, 2000 og 2008". Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  61. "Gaza Strip". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-06-08. Iliwekwa mnamo 2010-06-05.
  62. "West Bank". The World Factbook. Central Intelligence Agency. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-06-05.
  63. 64.0 64.1 "Philippines". 2012 Report on International Religious Freedom. U.S. Department of State. Mei 20, 2013. Section I. Religious Demography.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  64. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - USCIRF Annual Report 2006 - The Russian Federation". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-17. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  65. Mohamed Diriye Abdullahi, Culture and Customs of Somalia, page 55
  66. Harm De Blij, Why Geography Matters: More Than Ever page 202
  67. Yoel Natan, Moon-o-theism, Volume I of II page 299
  68. Christopher Daniels, Somali Piracy and Terrorism in the Horn of Africa, page 111
  69. Shaul Shay, Somalia Between Jihad and Restoration page 107
  70. 71.0 71.1 "A3 : Population by religion according to districts, 2012". Department of Census & Statistics, Sri Lanka. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-07. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  71. pamoja na Sudan Kusini
  72. "Sudan Overview". http://www.sd.undp.org/. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-05. Iliwekwa mnamo 2013-04-02. {{cite web}}: External link in |publisher= (help)
  73. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-07. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  74. 75.0 75.1 "Sweden". U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  75. 76.0 76.1 "Minaret debate angers Swiss muslims". euronews. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  76. "- Taiwan Government Entry Point". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-23. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  77. "Halal Restaurants & Food in Taiwan - Crescentrating". Crescentrating. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-30. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  78. United Nations High Commissioner for Refugees. "Refworld - 2010 Report on International Religious Freedom - Tanzania". Refworld. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-24. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  79. "The World Factbook". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  80. "Country - Turkey". Joshua Project. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  81. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-23. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  82. "Ислам в Украине". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-12-05. Iliwekwa mnamo 2015-04-14.
  83. Kerbaj, Richard. "Muslim population rising 10 times faster than rest of society", The Times, 2009-01-30. Retrieved on 2015-04-14. Archived from the original on 2010-05-25. 
  84. About Islam and American Muslims Archived 2 Aprili 2015 at the Wayback Machine.. Council on American-Islamic Relations (Washington, D.C.)
  85. Muslim Population in Asia: 1950 – 2020

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]