Papa Eusebius
Mandhari
Papa Eusebius | |
---|---|
Papa Eusebius. | |
Feast |
Papa Eusebius alikuwa Papa kwa miezi minne tu, kuanzia tarehe 18 Aprili 309 hadi tarehe 17 Agosti 309[1]. Alitokea Ugiriki.
Alimfuata Papa Marcellus I akafuatwa na Papa Miltiades.
Shahidi shujaa wa imani, ilipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa mji wa Roma kuhusu malipizi ya kufanywa na waliowahi kuasi[2], Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki mapema uhamishoni[3] katika kisiwa cha Sicilia[4][5].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
- Mababu wa Kanisa
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ "Butler, Alban. "St. Eusebius, Pope and Confessor", Lives of the Saints, 1866".
- ↑ "Kirsch, Johann Peter. "Pope St. Eusebius." The Catholic Encyclopedia. Vol. 5. New York: Robert Appleton Company, 1909. 16 Mar. 2015".
- ↑ "Saint Eusebius". Encyclopædia Britannica. 20 July 1998. https://www.britannica.com/biography/Saint-Eusebius. Retrieved 7 March 2020.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/89031
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eusebius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |