Papa Anastasio III
Mandhari
Papa Anastasio III alikuwa Papa kuanzia Juni/Septemba 911 hadi kifo chake mwezi wa Juni/Oktoba 913[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Anastasius.
Alimfuata Papa Sergio III akafuatwa na Papa Lando.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |