Papa Sergio IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Sergio IV.

Papa Sergio IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Julai 1009 hadi kifo chake tarehe 12 Mei 1012.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Martino Boccapecora.

Alimfuata Papa Yohane XVIII akafuatwa na Papa Benedikto VIII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.