Papa Konstantin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha:Costantinopapa.jpg
Papa Konstantin.

Papa Konstantin alikuwa papa kuanzia 25 Machi, 708 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili, 715. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Constantinus.

Alimfuata Papa Sisinnio akafuatwa na Papa Gregori II.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Konstantin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.