Papa Alexander IV
Mandhari
Papa Alexander IV (takriban 1199 – 25 Mei 1261) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/20 Desemba 1254 hadi kifo chake[1]. Alitokea Jenne, Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rinaldo. Alikuwa mpwa wa Papa Gregori IX.
Alimfuata Papa Inosenti IV akafuatwa na Papa Urbano IV.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |