Papa Nikolasi V
Mandhari
(Elekezwa kutoka Pope Nicholas V)
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 – 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sarzana, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.
Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |