Papa Innocent I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent I alikuwa papa kuanzia Desemba 401 hadi kifo chake tarehe 12 Machi 417. Alimfuata Papa Anastasio I akafuatwa na Papa Zosimus.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 12 Machi au 28 Julai.
Maandishi yake [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- Kuhusu Papa Innocent I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Find-A-Grave
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Liber pontificalis
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
