Ukristo nchi kwa nchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Asilimia ya Wakristo katika nchi zote duniani.


Ukristo ndio dini kubwa duniani mwanzoni mwa karne ya 21, ukikadiriwa kuwa na waumini bilioni 2.3 kati ya watu bilioni 7 duniani, ambao ni sawa na 1/3.[1][2][3][4][5]

Kati ya madhehebu yake, Kanisa Katoliki linaongoza kwa kuwa na waumini bilioni 1.09,[6] likifuatwa na Uprotestanti (uliogawanyika sana), Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na wengineo.

Nchi inayoongoza kwa idadi ya Wakristo ni Marekani, likifuatwa na Brazil na Mexico.[7]

Ukristo, katika madhehebu yake mojawapo, ni dini rasmi ya nchi 15: Argentina (Kanisa Katoliki),[8] Bolivia (Kanisa Katoliki na Ukristo kwa jumla),[9] Costa Rica (Kanisa Katoliki),[10] Denmark (Walutheri),[11] El Salvador (Kanisa Katoliki),[12] England (Anglikana),[13] Greece (Waorthodoksi), Armenia(Kanisa la Kitume la Armenia), Georgia (Waorthodoksi),[14][15]Ethiopia (Waorthodoksi wa Mashariki)[16][17] Iceland (Walutheri),[18] Liechtenstein (Kanisa Katoliki),[19] Malta (Kanisa Katoliki),[20] Monaco (Kanisa Katoliki),[21] Norway (Walutheri),[22] Vatican City (Kanisa Katoliki).[23]

Takwimu nchi kwa nchi[hariri | hariri chanzo]

Monasteri ya karne ya 7 huko Khor Virap chini ya Mlima Ararat. Armenia ilikuwa nchi ya kwanza kuufanya Ukristo kuwa dini rasmi mwaka 301.[24][25][26][27]

Takwimu zifuatazo zimekokotolewa hasa Marekani: State Department's International Religious Freedom Report, the CIA World Factbook, Joshua Project, Open doors, Pew Forum and Adherents.com.

Nchi huru[hariri | hariri chanzo]

Christianity by country
Country Christians % Christian % Catholic % Protestant/ Orthodox/ Other % GDP/Capita PPP World Bank 2012
Bendera ya Afghanistan Afghanistan (details) 6,250 0.02% 1,399
Bendera ya Albania Albania (details) 580,000 18.0% 10% 7% 9,443
Bendera ya Algeria Algeria (details) 270,000 2% 1% 1% 8,515
Bendera ya American Samoa American Samoa (details) 70,000 98.3% 20% 78%
Bendera ya Andorra Andorra (details) 78,000 94.0% 90.1% 3.9%
Bendera ya Angola Angola (details) 17,094,000 90.0% 50% 25% 6,105
Bendera ya Anguilla Anguilla (details) 15,000 90.5% 3% 87%
Bendera ya Antigua and Barbuda Antigua and Barbuda (details) 66,000 74.0% 10% 64% 19,964
Bendera ya Argentina Argentina (details) 37,561,000 92.7% 90% 2% 12,034
Bendera ya Armenia Armenia (details) 3,250,000 98.7% 3% 95% 6,645
Bendera ya Aruba Aruba (details) 98,000 90.1% 80.8% 7.8%
Bendera ya Australia Australia (details) 14,000,990 61.1% 25.8% 37% 44,462
Bendera ya Austria Austria (details) 6,970,000 83.0% 73.6% 4.7% 43,324
Bendera ya Azerbaijan Azerbaijan (details) 450,000 4.8% 4.8% 10,624
Bendera ya The Bahamas Bahamas (details) 350,000 96.3% 13.5% 67.6% 31,629
Bendera ya Bahrain Bahrain (details) 77,000 9.0% 9.0% 23,886
Bendera ya Bangladesh Bangladesh (details) 420,000 0.3% 0.3% 1,883
Bendera ya Barbados Barbados (details) 244,000 95.0% 4.2% 70% 18,805
Bendera ya Belarus Belarus (details) 5,265,109 55.4%[28] 7.1% 48.3% 15,579
Bendera ya Ubelgiji Belgium (details) 6,860,000 64.1% 57% 7% 38,884
Bendera ya Belize Belize (details) 247,000 76.7% 40% 36.7% 7,529
Bendera ya Benin Benin (details) 3,943,000 42.8% 27% 15% 1,583
Bendera ya Bermuda Bermuda (details) 44,004 64.7% 15% 50%
Bendera ya Bhutan Bhutan (details) 7,000 1.0% 0.1% 0.9% 6,699
Bendera ya Bolivia Bolivia (details) 9,730,000 97.0% 81.6% 13% 5,281
Bendera ya Bosnia na Herzegovina Bosnia and Herzegovina (details) 2,120,000 52.0% 36% 15% 9,235
Bendera ya Botswana Botswana (details) 1,416,000 71.6% 5% 66% 16,986
Bendera ya Brazil Brazil (details) 175,770,000 90.2% 63% 27% 11,909
Bendera ya British Virgin Islands British Virgin Islands (details) 23,000 96.0% 85% 9%
Bendera ya Brunei Brunei (details) 45,000 11.0% 53,348
Bendera ya Bulgaria Bulgaria (details) 6,364,000 84.0% 1% 83% 15,933
Bendera ya Burkina Faso Burkina Faso (details) 3,746,000 23.0% 18% 4% 1,513
Bendera ya Burundi Burundi (details) 7,662,000 75.0% 60% 15% 560
Bendera ya Kamboja Cambodia (details) 148,000 1.0% 0.15% 0.85% 2,494
Bendera ya Kamerun Cameroon (details) 13,390,000 69.0% 38.4% 26.3% 2,324
Bendera ya Kanada Canada (details) 22,102,700 67.3%[29] 38.7% 17.6% 42,693
Bendera ya Cabo Verde Cape Verde (details) 487,000 95.0% 93% 4% 4,430
Kigezo:Country data Cayman Islands (details) 42,000 73.8%
Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Central African Republic (details) 2,302,000 80% 29% 51% 857
Bendera ya Chad Chad (details) 3,833,000 34.0% 20% 15% 1,493
Bendera ya Chile Chile (details) 14,930,000 87.2% 67% 20% 22,655
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa China People's Republic of China (details) 67,070,000[30] 5% 1% 4% 9,233
Bendera ya Kolombia Colombia (details) 44,502,000 97.6% 90% 7.6% 10,587
Bendera ya Komori Comoros (details) 15,000 2.1% 0.5% 0.25% 1,230
Bendera ya Cook Islands Cook Islands (details) 19,000 94.3% 16.8% 69.6%
Kigezo:Country data Congo, Republic of (details) 3,409,000 90.7% 50% 40% 4,426
Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Congo, Democratic Republic of (details) 63,150,000 95.7% 50% 42% 422
Bendera ya Costa Rica Costa Rica (details) 3,912,000 84.3% 90.1% 3.9% 12,943
Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire (details) 7,075,000 32.8% 90.1% 3.9% 2,039
Bendera ya Kroatia Croatia (details) 4,107,000 92.6% 70% 20% 20,532
Bendera ya Kuba Cuba (details) 9,523,000 85.0% 85%
Bendera ya Kupro Cyprus (details) 863,000 79.3% 75% 30,597
Bendera ya Ucheki Czech Republic (details) 1,175,091 11.2% 10.4% 0.8% 26,426
Bendera ya Denmark Denmark (details) 4,610,000 83.1% 0.5% 80% 41,388
Bendera ya Jibuti Djibouti (details) 53,000 6.0% 1% 5% 2,784
Bendera ya Dominica Dominica (details) 59,000 88.7% 61% 27% 12,643
Bendera ya Jamhuri ya Dominika Dominican Republic (details) 9,734,000 95.2% 10,204
Kigezo:Country data East Timor (details) 1,152,000 98.4% 98% 1%
Bendera ya Ekuador Ecuador (details) 14,099,000 99.0% 80% 20% 9,738
Bendera ya Misri Egypt (details) 13,892,000 18.0% 18% 6,723
Bendera ya El Salvador El Salvador (details) 5,073,000 81.9% 52.6% 29.3% 7,069
Bendera ya Guinea ya Ikweta Equatorial Guinea (details) 683,000 98.6% 98% 30,233
Bendera ya Eritrea Eritrea (details) 3,310,000 62.9% 60% 2% 566
Bendera ya Estonia Estonia (details) 310,481 23.9% 23% 23,024
Bendera ya Ethiopia Ethiopia (details) 52,580,000 63.4% 63.4% 1,139
Bendera ya Visiwa vya Falkland Falkland Islands (details) 3,000 94.3% 94%
Bendera ya Faroe Islands Faroe Islands (details) 46,000 94.0% 94%
Bendera ya Fiji Fiji (details) 540,000 64.4% 8.9% 55.5% 4,943
Bendera ya Ufini Finland (details) 4,380,000 81.6% 81% 38,230
Bendera ya Ufaransa France (details) 39,656,000 63% 63% 35,845
Bendera ya Gabon Gabon (details) 1,081,000 72.0% 50% 22% 16,086
Bendera ya Gambia Gambia (details) 158,000 9.0% 2% 7% 1,948
Bendera ya Georgia (nchi) Georgia (details) 3,930,000 88.6% 0.9% 87.7% 5,902
Bendera ya Ujerumani Germany (details) 58,240,000 70.8% 30% 40% 40,394
Bendera ya Ghana Ghana (details) 16,741,000 68.8% 13.1% 55.5% 2,048
Bendera ya Ugiriki Greece (details) 10,208,586 94.5% 94% 24,667
Kigezo:Country data Greenland (details) 55,000 96.6% 96.6%
Bendera ya Grenada Grenada (details) 101,000 97.3% 53% 45% 10,827
Bendera ya Guatemala Guatemala (details) 14,018,000 97.5% 60% 40% 5,100
Bendera ya Guinea Guinea (details) 1,032,000 10.0% 5% 5% 1,069
Bendera ya Guinea-Bisau Guinea-Bissau (details) 165,000 10.0% 10% 1,192
Bendera ya Guyana Guyana (details) 434,000 57.0% 8% 49% 3,399
Bendera ya Haiti Haiti (details) 8,527,000 83.7% 68.6% 15% 1,228
Bendera ya Honduras Honduras (details) 6,660,000 87.6% 47% 40% 4,194
Bendera ya Hong Kong Hong Kong (details) 710,000 10.1% 5% 5% 51,946
Bendera ya Hungaria Hungary (details) 8,260,000 82.7% 11.6% 70.1% 21,570
Bendera ya Iceland Iceland (details) 300,000 95.0% 2.5% 92.5% 37,533
Bendera ya Uhindi India (details) 31,850,000 2.6% 2.6% 3,876
Bendera ya Indonesia Indonesia[4] (details) 21,160,000 8.8% 4,956
Bendera ya Uajemi Iran (details) 300,000 0.4% 0.4% 11,395
Bendera ya Iraq Iraq (details) 944,000 3.0% 3% 4,246
Bendera ya Eire Ireland (details) 4,220,000 94.1% 82% 12% 42,662
Bendera ya Israel Israel (details) 266,000 3.5% 3.5% 28,809
Bendera ya Italia Italy (details) 53,230,000[31] 85.1% 85.0% 32,512
Bendera ya Jamaika Jamaica (details) 1,784,000 65.3% 2% 63.3% 7,083
Bendera ya Japani Japan (details) 3,548,000 2.0% 1% 1% 35,204
Bendera ya Jordan Jordan (details) 388,000 6.0% 6,148
Bendera ya Kazakhstan Kazakhstan (details) 8,152,000 51.0% 0.16 50% 13,892
Bendera ya Kenya Kenya (details) 34,774,000 85.1% 23.4% 61.7% 1,761
Kigezo:Country data Korea, North (details) 480,000 4.0%
Kigezo:Country data Korea, South (details) 14,601,297 29.2% 10.9% 18.3% 30,722
Bendera ya Kuwait Kuwait (details) 458,000 15.0% 3.2% 12.8% 49,001
Bendera ya Kyrgyzstan Kyrgyzstan (details) 944,000 17.0% 17% 2,409
Bendera ya Laos Laos (details) 145,000 2.2% 1% 1% 2,926
Bendera ya Latvia Latvia (details) 1,250,000 55.7% 25% 32.2% 21,005
Bendera ya Lebanon Lebanon (details) 1,647,000 39.0% 25% 14% 14,610
Bendera ya Lesotho Lesotho (details) 1,876,000 90.0% 45% 45% 1,963
Bendera ya Liberia Liberia (details) 1,391,000 85.5%[32] 85.5% 655
Bendera ya Libya Libya (details) 131,000 2.0% 0.5% 1.5% 17,665
Bendera ya Liechtenstein Liechtenstein (details) 30,000 91.9% 79.1% 12.8%
Bendera ya Lituanya Lithuania (details) 2,827,000 84.9% 77.2% 7.6% 23,487
Bendera ya Luxemburg Luxembourg (details) 360,000 70.4% 70% 88,318
Kigezo:Country data Macedonia, Republic of (details) 1,334,000 65.1% 11,710
Bendera ya Madagaska Madagascar (details) 8,260,000 41.0% 978
Bendera ya Malawi Malawi (details) 12,538,000 79.9% 902
Bendera ya Malaysia Malaysia (details) 3,576,000 12.1% 17,143
Bendera ya Maldives Maldives (details) 300 0.08% 9,072
Bendera ya Mali Mali (details) 726,000 5.0% 1,214
Bendera ya Malta Malta (details) 400,000 97.0% 29,013
Bendera ya Mauritania Mauritania (details) 5,000 0.14% 2,603
Bendera ya Morisi Mauritius (details) 418,000 32.2% 15,649
Bendera ya Mexiko Mexico (details) 107,780,000 92% 82.7% 9.7% 16,676
Bendera ya Federated States of Micronesia Micronesia, Federated States of (details) 106,000 95.4% 3,824
Bendera ya Moldova Moldova (details) 3,480,000 97.53% 93% 3,424
Bendera ya Monako Monaco (details) 30,000 86.0%
Bendera ya Mongolia Mongolia (details) 58,000 2.1% 5,462
Bendera ya Montenegro Montenegro (details) 500,000 78.8% 3.4% 72.07% 14,206
Bendera ya Moroko Morocco (details) 651,000 2.1% 0.1% 2% 5,193
Bendera ya Msumbiji Mozambique (details) 13,120,717 56.1% 28.4% 27.7% 1,024
Bendera ya Myanmar Myanmar (details) 3,790,000 7.9% 1% 6.9%
Bendera ya Namibia Namibia (details) 1,991,000 90.0% 13.7% 76.3% 7,488
Bendera ya Nepal Nepal (details) 269,000 0.9% 0.1% 0.8% 1,484
Bendera ya Uholanzi Netherlands (details) 8,500,000 51.2% 30% 21% 42,938
Bendera ya New Zealand New Zealand (details) 2,475,000 55.6% 28.7% 24.9% 31,499
Bendera ya Nikaragua Nicaragua (details) 5,217,000 89.6% 58.8% 30.8% 4,072
Bendera ya Niger Niger
(details)
795,000 5.0% 5% 665
Bendera ya Nigeria Nigeria (details) 80,510,000 50.8% 37.8% 20% 2,661
Bendera ya Norwei Norway (details) 4,210,000 86.2% 3% 83.5% 62,767
Bendera ya Omani Oman (details) 73,000 2.5% 2.1% 0.4% 27,015
Bendera ya Pakistan Pakistan (details) 5,327,000 1.6% 0.8% 0.8% 2,891
Bendera ya Palau Palau (details) 16,000 77.9% 65% 12.9% 19,031
Bendera ya Panama Panama (details) 3,057,000 92.0% 80% 12% 16,615
Bendera ya Papua Guinea Mpya Papua New Guinea (details) 6,800,000 99.2% 27% 70% 2,898
Bendera ya Paraguay Paraguay (details) 6,260,000 96.9% 89% 7.9% 6,138
Bendera ya Peru Peru (details) 27,635,000 93.8% 93.8% 10,940
Bendera ya Philippines Philippines (details) 86,790,000 93.1% 80.9% 13% 4,413
Kigezo:Country data Pitcairn Islands (details) 50 100.0% 100%
Bendera ya Poland Poland (details) 36,090,000 94.3% 86.3% 8% 21,903
Bendera ya Ureno Portugal (details) 10,110,000[33] 94.7% 81% 14.7% 25,305
Kigezo:Country data Puerto Rico (details) 3,878,000 97.0% 50% 47%
Bendera ya Qatar Qatar (details) 262,675 13.8% 86,507
Bendera ya Romania Romania (details) 21,380,000 99.5% 5.7% 93.8% 16,518
Bendera ya Urusi Russia (details) 66,000,000-105,775,000[34][35] 46.6%[36]-76%[36][37][38][39] <0.1% 46.6%-76% 23,549
Bendera ya Rwanda Rwanda (details) 9,619,000 93.6% 56.9 26 1,354
Bendera ya San Marino San Marino (details) 31,000 97.0% 97%
Bendera ya Saudi Arabia Saudi Arabia (details) 1,493,000 5.5% 3.5% 2% 24,571
Bendera ya Senegal Senegal (details) 900,000 7.0% 4.2% 3% 1,944
Bendera ya Serbia Serbia (details) 7,260,000 93.5% 4.97% 79.4% 11,544
Bendera ya Shelisheli Seychelles (details) 80,000 94.7% 82% 15.2% 27,008
Bendera ya Sierra Leone Sierra Leone (details) 1,751,000 30.0% 3% 27% 1,359
Bendera ya Singapuri Singapore (details) 900,000 18.0%[1] 5.7% 12% 61,803
Bendera ya Slovakia Slovakia (details) 4,730,000 86.5% 75.2% 11.3% 24,896
Bendera ya Slovenia Slovenia (details) 1,610,000 79.2% 57% 22.2% 26,801
Bendera ya Somalia Somalia (details) 1,000[40] 0.0102% 0.0002% 0.0100%
Bendera ya Afrika Kusini South Africa (details) 40,243,000 81.7% 5% 75% 11,440
Bendera ya South Sudan South Sudan (details) 6,010,000[41] 60.5%[42] 30% 30%
Bendera ya Hispania Spain (details) 36,240,000 78.6% 78.6% 32,129
Bendera ya Sri Lanka Sri Lanka (details) 1,531,000 7.5% 6.1% 1.4% 6,247
Bendera ya Sudan Sudan (details) 3,062,000 9.6% 9.6%
Bendera ya Surinam Suriname (details) 308,000 50.3% 8,858
Bendera ya Uswazi Swaziland (details) 994,000 82.7% 25% 57.7% 5,246
Bendera ya Uswidi Sweden (details) 6,320,000 67.2% 2% 65% 42,217
Bendera ya Uswisi Switzerland (details) 6,350,000 82.9% 37.8% 36.9% 5,246
Bendera ya Syria Syria (details) 2,251,000 10.0% 10% 5,436
Bendera ya Tajikistan Tajikistan (details) 99,000 1.4% 0.1% 1.3% 2,247
Bendera ya Tanzania Tanzania (details) 27,118,000 62.0% 1,601
Bendera ya Uthai Thailand (details) 471,000 0.7% 0.4% 0.3% 9,815
Bendera ya Togo Togo (details) 1,966,000 29.0% 1,051
Bendera ya Tonga Tonga (details) 84,000 81.0% 16% 65% 5,026
Bendera ya Trinidad and Tobago Trinidad and Tobago (details) 774,000 57.6% 21.5% 33.4% 26,647
Bendera ya Tunisia Tunisia (details) 24,000 0.2% 0.2% 9,795
Bendera ya Uturuki Turkey (details) 120,000[43] 0.02% 0.02% 17,651
Bendera ya Turkmenistan Turkmenistan (details) 466,000 9.0% 9% 10,583
Bendera ya Uganda Uganda (details) 29,943,000 88.6% 41.9% 46.7% 1,352
Bendera ya Ukraine Ukraine (details) 38,080,000 83.8% 5.9% 76.7% 7,418
Bendera ya Falme za Kiarabu United Arab Emirates (details) 424,000 9.0% 7% 2% 42,384
Bendera ya Ufalme wa Muungano United Kingdom (details)[44] 33,200,417 59.3% 8.9% 50% 35,819
Bendera ya Marekani United States (details) 246,780,000 73% 22% 51% 49,965
Bendera ya Uruguay Uruguay (details) 2,127,000 58.4% 47% 11% 16,037
Bendera ya Uzbekistan Uzbekistan (details) 710,000 2.6% 2.6% 3,591
Bendera ya Vatikani Vatican City (details) 836 100.0% 100%
Bendera ya Venezuela Venezuela (details) 28,340,000 98.0% 92% 8% 13,475
Bendera ya Vietnam Vietnam (details) 7,03,000 8.0% 7% 1% 3,635
Bendera ya Sahara ya Magharibi Western Sahara (details) 200 0.039% 0.039%
Bendera ya Yemen Yemen (details) 3,000 0.013% 0.013% 2,489
Bendera ya Zambia Zambia (details) 12,939,000 97.6% 25% 72% 1712
Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe (details) 10,747,000 85.0% 7% 77% 559
Total[4] 2,384,004,733 32.5% 18% 14% -

Nchi zisizokubaliwa na wote[hariri | hariri chanzo]

Country Christians % Christian
Kigezo:Country data Abkhazia (details) 130,000 68.0%
Bendera ya Kosovo Kosovo (details) 150,000 8.3%
Kigezo:Country data Nagorno-Karabakh (details) 136,000 96.0%
Bendera ya Palestinian territories Palestine (details) 173,000 11.1%
Bendera ya Sahrawi Arab Democratic Republic Sahrawi Arab Democratic Republic (details) 200 0.03%
Kigezo:Country data South Ossetia (details) 69,000 96.4%
Bendera ya Republic of China Republic of China (details) 902,000 3.9%
Kigezo:Country data Transnistria (details) 510,000 95.0%

Nchi 10 zinazoongoza[hariri | hariri chanzo]

Kushoto: Orodha ya nchi zinazoongoza kwa idadi ya Wakristo. Kulia: Orodha ya nchi zinazoongoza kwa asilimia ya Wakristo kati ya wakazi wote.

Rank Country Christians % Christian Country % Christian Christians
Bendera ya Umoja wa Ulaya European Union 373,656,000 74.2%
1 Bendera ya Marekani United States 246,780,000 79.5% Bendera ya Vatikani Vatican City 100.0% 800
2 Bendera ya Brazil Brazil 175,700,000 91.4% Kigezo:Country data Pitcairn Islands 100.0% 50
3 Bendera ya Mexiko Mexico 107,095,000 97.5% Bendera ya Ugiriki Greece 99.7% 11,295,178
4 Bendera ya Urusi Russia 105,775,000 73.6% Bendera ya Ekuador Ecuador 99.0% 14,099,000
5 Bendera ya Philippines Philippines 90,530,000 92.4% Bendera ya Armenia Armenia 98.7% 3,196,000
6 Bendera ya Nigeria Nigeria 80,281,000 50.8% Bendera ya Guinea ya Ikweta Equatorial Guinea 98.6% 683,000
7 Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Congo, Democratic Republic of 68,558,000 95.6% Kigezo:Country data East Timor 98.4% 1,152,000
8 Kigezo:Country data China, People's Republic of 67,070,000[30] 5% Bendera ya Moldova Moldova 98.3% 3,503,000
9 Bendera ya Ethiopia Ethiopia 54,978,000 64.5% Bendera ya American Samoa American Samoa 98.3% 68,000
10 Bendera ya Italia Italy 54,070,000 91.5% Bendera ya Venezuela Venezuela 98.0% 28,340,000
Nchi zinazoongoza kwa asilimia kati ya zile zenye Wakristo walau milioni 10[hariri | hariri chanzo]
Rank Country % Christian Christians
1 Bendera ya Ugiriki Greece 99.7% 11,295,178
2 Bendera ya Ekuador Ecuador 99.0% 14,099,000
3 Bendera ya Venezuela Venezuela 98.0% 28,340,000
4 Bendera ya Kolombia Colombia 97.6% 44,502,000
5 Bendera ya Zambia Zambia 97.6% 12,939,000
6 Bendera ya Romania Romania 99.5% 20,930,000
7 Bendera ya Guatemala Guatemala 97.5% 14,018,000
8 Bendera ya Poland Poland 95.7% 36,526,000
9 Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Congo, Democratic Republic of 95.6% 68,558,000
10 Bendera ya Mexiko Mexico 97.5% 107,095,000
Percent (%) Christians Number of countries Population
100 2 850
90 - 99 50 824,568,000
80 - 89 27 227,790,200
70 - 79 20 599,319,000
60 - 69 11 177,608,000
50 - 59 16 132,349,929
40 - 49 3 13,594,000
30 - 39 6 15,497,000
20 - 29 5 23,657,000
10 - 19 10 43,409,000
1 - 9 34 124,755,000
- 1 13 1,823,750

Kwa jumla kati nchi 126 Wakristo ndio wengi kati ya wakazi wote.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. World. CIA world facts.
 2. The List: The World's Fastest-Growing Religions. foreignpolicy.com (March 2007). Iliwekwa mnamo 2010-01-04.
 3. Major Religions Ranked by Size. Adherents.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-05.
 4. 4.0 4.1 4.2 Global Christianity. Pew Research Center (December 2011). Iliwekwa mnamo 2012-07-30.
 5. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441.
 6. Universal Church sees increase in seminarians, reports Pontifical Yearbook. Catholic News Agency (February 20, 2010). Iliwekwa mnamo 4 August 2011.
 7. Largest Christian Population in the world; retrieved April 2009
 8. Argentina. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 9. Bolivia. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 10. Costa Rica. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 11. Denmark. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 12. El Salvador. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 13. Church and State in Britain: The Church of privilege. Centre for Citizenship. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 14. The Church Triumphant: A History of Christianity Up to 1300, E. Glenn Hinson, p 223
 15. Georgian Reader, George Hewitt, p. xii
 16. Ethiopia, the Unknown Land: A Cultural and Historical Guide, by Stuart Munro-Hay, p. 234
 17. Prayers from the East: Traditions of Eastern Christianity, Richard Marsh, p. 3
 18. Iceland. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 19. Liechtenstein. U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 20. Malta. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 21. Monaco. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 22. Norway. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 23. Vatican. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
 24. Armenia – Which Nation First Adopted Christianity?. Ancienthistory.about.com (2009-10-29). Iliwekwa mnamo 2010-01-25.
 25. Visit Armenia, It is Beautiful. Visitarmenia.org. Iliwekwa mnamo 2010-01-25.
 26. Armenia Information – Welcome to Armenia. Welcomearmenia.com. Iliwekwa mnamo 2010-01-25.
 27. Blog Archive " Which is the first country to adopt Christianity?. Did You Know it. Iliwekwa mnamo 2010-01-25.
 28. Religion and denominations in the Republic of Belarus. Ministry of Foreign Affairs of the Republic of Belarus. Iliwekwa mnamo 17 February 2013.
 29. Religions in Canada—Census 2011. Statistics Canada/Statistique Canada.
 30. 30.0 30.1 http://www.pewforum.org/uploadedFiles/Topics/Religious_Affiliation/Christian/Christianity-fullreport-web.pdf
 31. See: http://www.istat.it/it/popolazione
 32. International Religious Freedom Report 2010: Liberia. United States Department of State (November 17, 2010). Iliwekwa mnamo July 22, 2011.
 33. Global Christianity Interactive – Pew Forum on Religion & Public Life (19 December 2011). Iliwekwa mnamo 27 June 2012.
 34. Global Christianity – A Report on the Size and Distribution of the World’s Christian Population. December 19, 2011 Pew Research Center
 35. «ВЕРИМ ЛИ МЫ В БОГА?».2010 VTSIOM
 36. 36.0 36.1 Arena - Atlas of Religions and Nationalities in Russia. 2012 National Survey of Religions in Russia. Sreda.org
 37. US State Department Religious Freedom Report on Russia, 2006
 38. В России 74% православных и 7% мусульман. 2012 Levada Center
 39. Ценности: религиозность. June 2013 Public Opinion Foundation
 40. "Almost expunged: Somalia's Embattled Christians", 2009-10-22. Retrieved on 2009-10-22. 
 41. 2012 Pew Forum on Religion
 42. Pew Forum on Religion
 43. Foreign Ministry: 89,000 minorities live in Turkey. Today's Zaman (15 December 2008). Iliwekwa mnamo 16 May 2011.
 44. http://www.ons.gov.uk/ons/rel/census/2011-census/key-statistics-for-local-authorities-in-england-and-wales/index.html