Papa Martin I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Martin I

Papa Martin I alikuwa papa kuanzia 21 Julai, 649 hadi kifo chake tarehe 16 Septemba, 655. Alimfuata Papa Theodor I.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Martin I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.