Papa Sixtus II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sixtus II alikuwa papa kuanzia 30 Agosti, 257 hadi kifo chake tarehe 6 Agosti, 258. Alimfuata Papa Stefano I.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Sixtus II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |