Laurenti Mfiadini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kifodini cha Mt. Laurenti" kilivyochongwa na Juan de León (1758). Kazi hii iko Real Academia de Bellas Artes de San Fernando, Madrid, Hispania.
Laurenti (Huesca, Hispania, 225 hivi - Roma, Italia, 10 Agosti 258) alikuwa shemasi mkuu wa Kanisa la Roma hadi alipouawa kwa kubanikwa kutokana na imani yake katika Yesu.
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini, hasa siku ya kifodini chake.
Viungo vya nje [hariri]
- Henry Wace, A Dictionary of Christian Biography: Laurentius
- Catholic Encyclopedia Saint Lawrence
- Golden Legend: "The Life of Saint Laurence"
- Leo I: Sermon on St Lawrence
- Orthodox Christianity Church of Saint Lawrence
- [1] Church of Saint Lawrence, Birgu, Malta
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Laurenti Mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |