Papa Marcello I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Marcello I alikuwa papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 308 hadi kifo chake mwaka wa 309. Alimfuata Papa Marcellinus aliyekufa wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletiano dhidi ya Wakristo.
Marcello I alifungwa na Kaisari Maxentius na kufariki uhamishoni. Alifuatwa na Papa Eusebius.
Maandishi yake [hariri]
Marejeo [hariri]
- Liber Pontificalis, ed. Louis Duchesne, I, 164–6; cf. Introduction, xcix–c; Acta SS., Jan., II, 369
- Joseph Langen, Geschichte der Römischen Kirche I, 379 sqq.
- Paul Allard, Histoire des persécutions, V, 122–4
- Louis Duchesne, Histoire ancienne de l'Église, II, 95–7.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Marcello I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
