Papa Eugenio III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Eugenio III alikuwa papa kuanzia Februari 1145 hadi kifo chake tarehe 8 Julai, 1153. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bernardo dei Paganelli di Montemagno. Alimfuata Papa Lucius II.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Eugenio III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |