Papa Adeodato I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Adeodato I

Papa Adeodato I (pia aliitwa Deusdedit) alikuwa papa kuanzia 13 Novemba 615 hadi kifo chake tarehe 8 Novemba 618. Jina la baba yake lilikuwa Stephanus. Alimfuata Papa Boniface IV.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Adeodato I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adeodato I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine