Papa Innocent X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Innocent X

Papa Innocent X (6 Mei, 15747 Januari, 1655) alikuwa papa kuanzia 15 Septemba, 1644 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj. Alimfuata Papa Urban VIII.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.