Papa Viktor III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Viktor III (takriban 1026 – 16 Septemba, 1087) alikuwa papa kuanzia 24 Mei, 1086 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Dauferius. Alimfuata Papa Gregori VII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Viktor III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |