Papa Adrian III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Adrian III alikuwa papa kuanzia 17 Mei, 884 hadi kifo chake mwezi Septemba 885. Alimfuata Papa Marinus I.
Alitangazwa kuwa mtakatifu mwaka 1891, na sikukuu yake ni 8 Julai.
[hariri] Maandishi
[hariri] Marejeo
- 9th edition (1880s) of the Encyclopædia Britannica
[hariri] Viungo vya nje
Papa Adrian III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |