Papa Urban IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Urban IV (takriban 1195 – 2 Oktoba 1264) alikuwa papa kuanzia 29 Agosti 1261 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Pantaléon.
Alimfuata Papa Alexander IV akafuatwa na Papa Klementi IV.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Urban IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |