Papa Sixtus IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sixtus IV (21 Julai, 1414 – 12 Agosti, 1484) alikuwa papa kuanzia 9 Agosti, 1471 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco della Rovere. Alimfuata Papa Paulo II.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Sixtus IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |