Papa Honorius II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Picha:B Honorius II.jpg
Papa Honorius II

Papa Honorius II (takriban 103613 Februari, 1130) alikuwa papa kuanzia 21 Desemba, 1124 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lamberto Scannabecchi. Alimfuata Papa Callixtus II.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.