Papa Alexander VII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Alexander VII

Papa Alexander VII (13 Februari 159922 Mei 1667) alikuwa papa kuanzia 7 Aprili 1655 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Fabio Chigi. Alimfuata Papa Innocent X akafuatwa na Papa Klementi IX.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Alexander VII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.