Papa Honorius I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Honorius I alikuwa papa kuanzia 27 Oktoba 625 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 638.
Alimfuata Papa Boniface V akafuatwa na Papa Severino.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |