Papa Severino
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Severino alikuwa papa kuanzia 28 Mei 640 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 640. Jina la baba yake lilikuwa Abienus.
Alimfuata Papa Honorius I akafuatwa na Papa Yohane IV.
Ingawa Severino alikuwa amechaguliwa mwezi wa Oktoba 638, ilichukua zaidi ya mwaka mmoja na nusu kupata kibali kutoka kwa Kaisari wa Bizanti.
Viungo vya nje[hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Severino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |