Papa Celestino IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Celestino IV

Papa Celestino IV alikuwa papa kuanzia 25 Oktoba 1241 hadi kifo chake tarehe 10 Novemba 1241. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Goffredo da Castiglione. Alikuwa mpwa wa Papa Urban III.

Alimfuata Papa Gregori IX akafuatwa na Papa Innocent IV.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kuhusu Papa Celestino IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.