Papa Konstantin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Konstantin

Papa Konstantin alikuwa papa kuanzia 25 Machi, 708 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili, 715. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Constantinus. Alimfuata Papa Sisinnio.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Konstantin katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Konstantin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.