Nenda kwa yaliyomo

Tuzo ya Nobel ya Fasihi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Nobel ya Fasihi inatolewa na Taasisi ya Taaluma ya Uswidi kwa lugha na fasihi.

Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na waandishi wafuatao:

Mwaka Jina Nchi Lugha
1901 Sully Prudhomme Ufaransa Kifaransa
1902 Theodor Mommsen Ujerumani Kijerumani
1903 Bjørnstjerne Bjørnson Norwei Kinorwei
1904 Frédéric Mistral Ufaransa Occitan
José Echegaray y Eizaguirre Hispania Kihispania
1905 Henryk Sienkiewicz Poland Kipoland
1906 Giosuè Carducci Italia Kiitalia
1907 Rudyard Kipling Uingereza Kiingereza
1908 Rudolf Christoph Eucken Ujerumani Kijerumani
1909 Selma Lagerlöf Uswidi Kiswidi
1910 Paul Heyse Ujerumani Kijerumani
1911 Count Maurice Maeterlinck Ubelgiji Kifaransa
1912 Gerhart Hauptmann Ujerumani Kijerumani
1913 Rabindranath Tagore India Kibengali
1915 Romain Rolland Ufaransa Kifaransa
1916 Verner von Heidenstam Uswidi Kiswidi
1917 Karl Adolph Gjellerup Denmark Kidenmark
Henrik Pontoppidan Denmark Kidenmark
1919 Carl Spitteler Uswisi Kijerumani
1920 Knut Hamsun Norwei Kinorwei
1921 Anatole France Ufaransa Kifaransa
1922 Jacinto Benavente Hispania Kihispania
1923 William Butler Yeats Ireland Kiingereza
1924 Władysław Reymont Poland Kipoland
1925 G. Bernard Shaw Ireland Kiingereza
1926 Grazia Deledda Italia Kiitalia
1927 Henri Bergson Ufaransa Kifaransa
1928 Sigrid Undset Norwei Kinorwei
1929 Thomas Mann Ujerumani Kijerumani
1930 Sinclair Lewis Marekani Kiingereza
1931 Erik Axel Karlfeldt Uswidi Kiswidi
1932 John Galsworthy Uingereza Kiingereza
1933 Ivan Alekseyevich Bunin Urusi (uhamishoni) Kirusi
1934 Luigi Pirandello Italia Kiitalia
1936 Eugene O'Neill Marekani Kiingereza
1937 Roger Martin du Gard Ufaransa Kifaransa
1938 Pearl S. Buck Marekani Kiingereza
1939 Frans Eemil Sillanpää Finland Kifini
1944 Johannes Vilhelm Jensen Denmark Kidenmark
1945 Gabriela Mistral Chile Kihispania
1946 Hermann Hesse Uswisi Kijerumani
1947 André Gide Ufaransa Kifaransa
1948 T. S. Eliot Marekani/Uingereza Kiingereza
1949 William Faulkner Marekani Kiingereza
1950 Bertrand Russell Uingereza Kiingereza
1951 Pär Lagerkvist Uswidi Kiswidi
1952 François Mauriac Ufaransa Kifaransa
1953 Sir Winston Churchill Uingereza Kiingereza
1954 Ernest Hemingway Marekani Kiingereza
1955 Halldór Laxness Iceland Kiiceland
1956 Juan Ramón Jiménez Hispania Kihispania
1957 Albert Camus Ufaransa Kifaransa
1958 Boris Pasternak (alikataa tuzo)[1] Ilihifadhiwa 8 Januari 2009 kwenye Wayback Machine. Urusi Kirusi
1959 Salvatore Quasimodo Italia Kiitalia
1960 Saint-John Perse Ufaransa Kifaransa
1961 Ivo Andric Yugoslavia Kiserbia - Kikroatia
1962 John Steinbeck Marekani Kiingereza
1963 Giorgos Seferis Ugiriki Kigiriki
1964 Jean-Paul Sartre (alikataa tuzo) Ufaransa Kifaransa
1965 Michail Sholokhov Urusi Kirusi
1966 Shmuel Yosef Agnon Israel Kiebrania
Nelly Sachs Ujerumani/Uswidi Kijerumani
1967 Miguel Ángel Asturias Guatemala Kihispania
1968 Yasunari Kawabata Japan Kijapani
1969 Samuel Beckett Ireland Kiingereza/Kifaransa
1970 Aleksandr Solzhenitsyn Urusi Kirusi
1971 Pablo Neruda Chile Kihispania
1972 Heinrich Böll Ujerumani (Magharibi) Kijerumani
1973 Patrick White Australia Kiingereza
1974 Eyvind Johnson Uswidi Kiswidi
Harry Martinson Uswidi Kiswidi
1975 Eugenio Montale Italia Kiitalia
1976 Saul Bellow Kanada/Marekani Kiingereza
1977 Vicente Aleixandre Hispania Kihispania
1978 Isaac Bashevis Singer Poland/Marekani Yiddish
1979 Odysseas Elytis Ugiriki Kigiriki
1980 Czesław Miłosz Poland/Marekani Kipoland
1981 Elias Canetti Uingereza Kijerumani
1982 Gabriel García Márquez Colombia Kihispania
1983 William Golding Uingereza Kiingereza
1984 Jaroslav Seifert Uceki Kiceki
1985 Claude Simon Ufaransa Kifaransa
1986 Akinwande Oluwole Soyinka Nigeria Kiingereza
1987 Joseph Brodsky Urusi/Marekani Kirusi/Kiingereza
1988 Nagib Mahfuz Misri Kiarabu
1989 Camilo José Cela Hispania Kihispania
1990 Octavio Paz Mexico Kihispania
1991 Nadine Gordimer Afrika Kusini Kiingereza
1992 Derek Walcott St. Lucia Kiingereza
1993 Toni Morrison Marekani Kiingereza
1994 Kenzaburo Oe Japan Kijapani
1995 Seamus Heaney Ireland Kiingereza
1996 Wisława Szymborska Poland Kipoland
1997 Dario Fo Italia Kiitalia
1998 José Saramago Ureno Kireno
1999 Günter Grass Ujerumani Kijerumani
2000 Gao Xingjian Uchina/Ufaransa Kichina
2001 Vidiadhar Surajprasad Naipaul Trinidad and Tobago/Uingereza Kiingereza
2002 Imre Kertész Hungaria Kihungaria
2003 John Maxwell Coetzee Afrika Kusini Kiingereza
2004 Elfriede Jelinek Austria Kijerumani
2005 Harold Pinter Uingereza Kiingereza
2006 Orhan Pamuk Uturuki Kituruki
2007 Doris Lessing Uingereza Kiingereza
2008 J. M. G. Le Clézio Ufaransa Kifaransa
2009 Herta Müller Ujerumani Kijerumani
2010 Mario Vargas Llosa Peru Kihispania
2011 Tomas Tranströmer Uswidi Kiswidi
2012 Mo Yan Uchina Kichina
2013 Alice Munro Kanada Kiingereza
2014 Patrick Modiano Ufaransa Kifaransa
2015 Svetlana Alexievich Belarus Kirusi
2016 Bob Dylan Marekani Kiingereza
2017 Kazuo Ishiguro Uingereza (Japani) Kiingereza
2018 Olga Tokarczuk Poland Kipoland
2019 Peter Handke Austria Kijerumani
2020 Louise Glück Marekani Kiingereza
2021 Abdulrazak Gurnah Uingereza (Zanzibar) Kiingereza