Władysław Reymont

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Władysław Reymont

Władysław Reymont (7 Mei 18675 Desemba 1925) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Poland (jina lake pia liliandikika Rejment). Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1924 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Władysław Reymont kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.