Herta Müller
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Herta Müller (17 Agosti 1953) ni mwandishi kutoka nchi ya Romania aliyetumia lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 2009 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herta Müller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |