Darmstadt
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Darmstadt ni mji wa Kijerumani katika jimbo la Hesse takriban kilomita 30 kusini ya Frankfurtni mji wenye wakazi wapatao 141,000. Mji uko baina ya Frankfurt am Main na Heidelberg.
Elementi ya Darmstati iligunduliwa mjini hapa mwaka 1994.
[hariri] Picha za Darmstadt
[hariri] Tazama pia
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Darmstadt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |