Patrick White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Patrick White (1973)

Patrick Victor Martindale White (28 Mei 191230 Septemba 1990) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Australia. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1973 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.