Frédéric Mistral

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Frédéric Mistral


Frédéric Mistral (8 Septemba, 183025 Machi, 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alijishughulikia na kufufua lugha ya Provence inayozungumzwa sehemu za Kusini za Ufaransa. Aliandika mashairi mengi katika lugha hiyo na kutolea kamusi. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

[hariri] Maandishi yake

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Mistral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine