Jacinto Benavente

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacinto Benavente
Tuzo Nobel.png

Jacinto Benavente (12 Agosti, 186614 Julai, 1954) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Hispania. Hasa aliandika tamthiliya. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacinto Benavente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.