Patrick Modiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Patrick Modiano

Patrick Modiano (amezaliwa 30 Julai, 1945 mjini Boulogne-Billancourt, Île-de-France) ni mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa.

Mwaka 2014 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick Modiano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.