Kikroatia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Lugha ya Kikroatia | ||||||||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Kinazungumzwa katika: | Kroatia (7-10 milioni); Pia kuna wanzungumzaji katika Australia, Kanada, Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Argentina, Brazil, na nchi nyingine kibao. | |||||||||||||||||||||||
| Waongeaji: | zaidi ya milioni 10 | |||||||||||||||||||||||
| Kama lugha rasmi: | ||||||||||||||||||||||||
| Nchi: | Kroatia | |||||||||||||||||||||||
| Uianishaji wa kiisimu: | ||||||||||||||||||||||||
Lugha za Kihindi-Kiulaya
|
||||||||||||||||||||||||
Kikroatia (kwa Kikroatia: hr=hrvatski jezik, en=croatian language) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Kroatia. Kikroatia ilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia, Kiserbia na Kimasedonia.
Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika iliandikwa kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia.
-
Latin alphabet i+e.svg
(i(j)e)
-
Latin alphabet r+r.svg
(ŕ)
[hariri] Kamusi
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
.
- Englis - Kikroatia
- Vocabulario básico croata con locuciones
- Ethnologue.org
- Croatian language
- Lengua Croata En español
- Institute Kikroatia
- Kikroatia Academy