Elfriede Jelinek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elfriede Jelinek mwaka 2004

Elfriede Jelinek (amezaliwa 20 Oktoba 1946) ni mwandishi kutoka nchi ya Austria. Hasa ameandika riwaya na pia tamthiliya. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elfriede Jelinek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.