Günter Grass

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Günter Grass (2004)
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Günter Wilhelm Grass (amezaliwa 16 Oktoba 1927) ni mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa ameandika riwaya na insha, na pia tamthiliya na mashairi. Mwaka wa 1999 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Günter Grass kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.