Lübeck
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Lübeck | |||
| Holstentor cha mji wa Lübeck | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Lübeck katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 53°52′N 10°41′E / 53.867°N 10.683°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Schleswig-Holstein | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 210,892 | ||
| Tovuti: www.luebeck.de | |||
Lübeck ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Mji uko kando la mto Trave karibu na pwani la Baltiki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 210,892. Mji ulianzishwa 1143.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lübeck kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |