Camilo José Cela
Kutoka Wikipedia
Image:CJC.jpg
Camilo José Cela
Camilo Jose Cela Trulock (11 Mei, 1916 – 17 Januari, 2002) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Hispania. Aliandika riwaya, insha na vitabu vya safari. Mwaka wa 1989 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

