Dario Fo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dario Fo (amezaliwa 24 Machi, 1926) ni mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1997 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dario Fo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |