Wabunge wa Tanzania 2020
Mandhari
Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum vya wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais.
Vyama bungeni tangu 2020
[hariri | hariri chanzo]Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2020[1]:
Jina na rangi |
Chama Cha Mapinduzi ( CCM) | |
---|---|---|
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema) | ||
Alliance for Change and Transparency (ACT) | ||
Civic United Front (CUF) |
( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni) ↓ 50% | |||||
Wabunge wa Tanzania, kupangwa kwa majina
[hariri | hariri chanzo]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Member of the Parliament, tovuti ya Bunge, iliangaliwa Aprili 2022