Nenda kwa yaliyomo

Abdallah Chikota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Abdallah Dadi Chikota)

Abdallah Dadi Chikota Nanyamba (amezaliwa 28 Februari 1966) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM, pia ni mwalimu kitaaluma. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nanyamba (Mtwara Vijijini) kwa miaka 20152020. [1] [2]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. https://www.parliament.go.tz/administrations/281