Mtwara Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mtwara Vijijini (kijani) katika mkoa wa Mtwara.

Wilaya ya Mtwara Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Mtwara. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 228,003 [1] waishio humo.

Wilaya hii imepakana na Msumbiji upande wa kusini, Wilaya ya Tandahimba upande wa magharibi, Mkoa wa Lindi upande wa kaskazini na Mtwara Mjini pamoja na Bahari Hindi upande wa Mashariki.

Wakazi walio wengi ni Wamakonde na Wamakua.

Eneo la wilaya ni kilomita za mraba 3,597 km². Mto mkubwa ni Ruvuma ambao ni pia mpaka wa Msumbiji.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Mtwara DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-17.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mtwara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mtwara Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Mtwara Vijijini - Mkoa wa Mtwara - Tanzania

Dihimba | Kitere | Libobe | Lipwidi | Madimba | Mahurunga | Mangopachanne | Mayanga | Mbawala (Mtwara) | Mkunwa | Moma | Mpapura | Msanga Mkuu | Msimbati | Muungano | Nalingu | Nanguruwe | Naumbu | Ndumbwe | Tangazo (Mtwara) | Ziwani