Ulyankulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ulyankuru ni jimbo la uchaguzi la bunge lililopo katika Wilaya ya Kaliua, Mkoa wa Tabora, Tanzania. Mwaka 2016 ilikuwa na wakazi 217,798 [1] katika kata za Ichemba, Igombe Mkulu, Itege, Kanindo, Kanoge, Kashishi, Konanne, Makingi, Milambo, Mwongozo, Nwande, Sasu, Seleli, Silambo, Uyowa.

Mbunge aliyechaguliwa mwaka 2015 alikuwa John Peter Kadutu wa chama cha CCM. Nijimbo pekee lililotulia mara baada ya uchaguzi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016, uk 111; tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017