Ichemba
Ichemba ni kata ya Wilaya ya Kaliua katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45712.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 5,177 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,750 waishio humo.[2]
Ichemba ina Mahakama ya Mwanzo ya Ichemba inayohudumia kata tano kwa ujumla wake ikiwemo Ichemba yenyewe kama kata kuu, Mwongozo, Nhwande, Makingi na Kanoge. Mahakama hiyo ipo eneo la Mgelela - Ichemba tangu mwaka 1970 na inasimamia utekelezaji wa sheria kwa kutatua migogoro, kutoa haki na kuelimisha jamii husika kuhusu utiifu wa sheria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Kata za Wilaya ya Kaliua - Mkoa wa Tabora - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Ichemba | Igagala | Igombemkulu | Igwisi | Ilege | Kaliua | Kamsekwa | Kanoge | Kashishi | Kazaroho | Kona Nne | Makingi | Milambo | Mkindo | Mwongozo | Nhwande | Sasu | Seleli | Silambo | Ufukutwa | Ugunga | Ukumbi Siganga | Usenye | Ushokola | Usimba | Usinge | Uyowa | Zugimlole | ||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ichemba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |