Igagala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Igagala ni jina la kata ya Wilaya ya Kaliua katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45709 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23841 waishio humo.[2]

Kata hii imepiga hatua sana kimaendeleo,wakazi wake hujishughulisha sana na biashara, kilimo cha Tumbaku ambacho huwapatia fedha nyingi sana,Kijiji hiki hakina umeme lakini wakazi walio wengi hutumia umeme wa 'solar'. Kwa hiyo muda wa jioni watu huwa kwenye mishemishe ya hali ya juu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kaliua - Mkoa wa Tabora - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ichemba | Igagala | Igombe Mkulu | Igwisi | Itege | Kaliua | Kamsekwa | Kanindo | Kanoge | Kashishi | Kazaroho | Konanne | Makingi | Milambo | Mwongozo | Nwande | Sasu | Seleli | Silambo | Ufukutwa | Ugunga | Ukumbisiganga | Usenye | Ushokola | Usimba | Usinge | Uyowa | Zugimlole


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Igagala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.