Kanoge
Kanoge ni jina la kata ya Wilaya ya Kaliua katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45714 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,504 waishio humo.[2]
Zao kubwa la biashara katika Kanoge ni kilimo cha tumbaku, wakazi wengi wanajishughulisha na kilimo cha zao hili la tumbaku kwa ajiri ya kujikima na mahitaji yao ya kila siku.
Marejeo
![]() |
Kata za Wilaya ya Kaliua - Mkoa wa Tabora - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Ichemba | Igagala | Igombe Mkulu | Igwisi | Itege | Kaliua | Kamsekwa | Kanindo | Kanoge | Kashishi | Kazaroho | Konanne | Makingi | Milambo | Mwongozo | Nwande | Sasu | Seleli | Silambo | Ufukutwa | Ugunga | Ukumbisiganga | Usenye | Ushokola | Usimba | Usinge | Uyowa | Zugimlole |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kanoge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |