John Peter Kadutu
Mandhari
John Peter Kadutu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ulyankulu kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Ameteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Big Stars Football Club Ilihifadhiwa 1 Julai 2023 kwenye Wayback Machine. kuwa Kaimu Ofisi Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu yenye maskani yake mkoani Singida, Tanzania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Peter Kadutu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |