Nenda kwa yaliyomo

Livingstone Joseph Lusinde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Livingstone Joseph Lusinde ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mtera kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Livingstone Joseph Lusinde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.