Sophia Hebron Mwakagenda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sophia Hebron Mwakagenda ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Rungwe kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017